COVID-19 : Taifa la Marekani laanza kupata afuweni

Your browser doesn’t support HTML5

Maisha yaanza taratibu kurejea baada ya miji mbalimbali Marekani kufunga shughuli zake kufuatia janga la virusi vya corona lililoikumba dunia.