COVID-19 : Somalia yaathiriwa vibaya na wimbi la pili

Your browser doesn’t support HTML5

Kutokana na Somalia kuwa na mfumo dhaifu zaidi wa afya duniani inaripotiwa kuwa wimbi la pili la COVID-19 limeathiri vibaya sana taifa hilo.