COVID-19 : Seychelles nchi ya kwanza ya Afrika kupata chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Seychelles ni kiongozi wa kwanza Afrika kupigwa chanjo ya COVID-19 na amewahimiza wananchi wake kuwa tayari kuchanja kinga hiyo.