COVID-19 : Magufuli adai chanjo hazifai

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania John Magufuli adai kuwa kuna baadhi ya watu walitoka nje ya nchi kwenda kupatiwa chanjo na wamerudi na "wametuletea corona ambayo ni ya ajabu ajabu." Asema "...Chanjo hazifai."