COVID-19 : Maandamano yapelekea serikali Senegal kulegeza masharti

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Senegal inampango wa kulegeza masharti taratibu ya karantini na kuondoa marufuku ya safari za ndani baada ya siku mbili za usiku wa ghasia nchini humo.