COVID-19 : Ligi ya NBA Marekani yaahirisha michezo mitano

Your browser doesn’t support HTML5

Ligi ya NBA Marekani Jumapili iliahirisha jumla ya michezo mitano ikihusisha timu tisa ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya corona.