COVID-19 : Kenya yazuia wanariadha kushiriki mashindano Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya imekataa kuwaruhusu wanariadha wake kushiriki mbio za Marathon za Kilimanjaro nchini Tanzania kutokana na wasiwasi wa janga la ugonjwa wa Covid-19.