COVID-19 : Hali ngumu ya maisha yawakabili wanamuziki Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Wanamuziki wengi nchini Zimbabwe wakabiliwa na hali ngumu ya maisha kufuatia kufungwa kwa shughuli za kawaida nchini humo kufuatia kuzuka kwa COVID-19.