COVID-19 : Changamoto za wakunga kuwafikia wajawazito Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Amri ya kutotoka nje iliyotangazwa na serikali ya Kenya jinsi ilivyoathiri shughuli za ukunga kutokana na kukosekana usafiri utakao wawezesha kuwafikia wajawazito.