Chuo Kikuu cha Addis Ababa kuanza kufundisha Kiswahili

Your browser doesn’t support HTML5

Chuo Kikuu cha Addis Ababa kitaanza kufundisha lugha ya Kiswahili baada ya Umoja wa Afrika kuidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya kazi ya umoja huo.