Matukio ya Dunia China yatoa dola milioni 30 kwa WHO 24 Aprili, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 China yaongeza bilioni 30 zaidi kuziba pengo la bajeti ya Shirika la Afya Duniani baada ya Rais Trump kusitisha msaada kwa taasisi hiyo.