China yaitahadharisha jumuiya ya kimataifa juu ya Myanmar

Your browser doesn’t support HTML5

China yatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua zisizo chochea migogoro dhidi ya mapinduzi ya Myanmar.
Rais wa Tanzania azitaka mahakama nchini humo kutumia lugha ya Kiswahili katika kazi zake.
Benki ya Dunia yasitisha msaada wa fedha katika sekta ya elimu DRC kutokana na rushwa na ulaghai.