China yachukua hatua mpya kudhibiti maambukizi ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wilaya kadhaa katika mji mkuu wa China zimefungua vituo vya ukaguzi, zimefunga shule na kuamuru wananchi kupima COVID-19 baada ya mlipuko mpya.