China: Maonyesho ya kimataifa ya anga 2022 yajikita katika ndege za kivita

Your browser doesn’t support HTML5

Maonyesho ya kimataifa ya China ya anga na anga za juu zaidi ambayo hujulikana kama Air Show China 2022 yalifunguliwa Jumanne huko mjini Zhuhai, ambayo yatadumu hadi Novemba 13.

Tukio hilo limeanza kwa maonyesho ya jeshi la ukombozi la China. Sikiliza taarifa hiyo pamoja na mengine yaliyojiri duniani katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita...