Walinzi walimkimbiza na kumzidi nguvu mshambuliaji huyo na Chappelle aliweza kuendelea na uchekeshaji wake, huku mtu huyo akichukuliwa na gari la wagonjwa kupelekwa hospitali.
Chappelle avamiwa akiwa jukwaani wakati akifanya kazi yake ya uchekeshaji
Your browser doesn’t support HTML5
Mchekeshaji wa Marekani David Chappelle avamiwa na mshabiki mmoja aliyekuwa amebeba bunduki ya bandia huko Hollywood Boll Los Angeles.