Chanjo ya COVID-19 ya Johnson & Johnson yaonyesha mafanikio

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya dawa ya Johnson & Johnson inasema majaribio ya dawa yake ya chanjo ya Corona imeonyesha matumaini makubwa dhidi ya maambukizi.
- Burundi na Rwanda zimeongezwa katika orodha ya nchi zilizo wekewa maarufuku ya kusafiri kwenda Uingereza.
- Sudan Kusini yabadilisha major kuanzia February 1, 2021.