Chanjo ya Covid 19 Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania tayari imepokea chanjo ya Covid 19 na utaratibu wa kugawa chanjo utaanza hivi karibuni huku makundi hatarishi yakiwekwa mbele zaidi katika mchakato huu.