Chanjo mpya ya kampuni ya Moderna dhidi ya COVID-19 iko tayari

Your browser doesn’t support HTML5

Chanjo mpya dhidi ya virusi vya corona iliyotengenezwa na kampuni ya Marekani Moderna inatarajiwa kutolewa kote nchini Marekani wiki hii.