Chanjo dhidi ya COVID-19 zaanza kutolewa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Chanjo dhidi ya virusi vya corona zaanza kutolewa Marekani huku shehena za chanjo hizo zikiendelea kusambazwa nchini.
Wajumbe wa Uchaguzi wa Marekani wapiga kura kuidhinisha rasmi ushindi wa Rais mteule Joe Biden.

Baadhi ya wanasiasa waliokuwa wanamuunga mkono Rais wa zamani Joseph Kabila sasa wanamuunga mkono Rais aliyeko madarakani Felix Tshisekedi.