Changamoto zinazokabili bunge jipya la Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la 115 linalodhibitiwa na Warepublican linakabiliwa na changamoto chungu nzima za ushirikiano na kutekeleza mageuzi aliyoahidi Donald Trump.