Changamoto za wauza miraa Kenya na athari ya bidhaa hiyo kwa binadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabiashara katika Soko la EastLeigh, Nairobi wanaosambaza miraa kote nchini Kenya waeleza changamoto zinazowakabili huku wataalam wa afya wakitahadharisha madhara yake.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.