Changamoto mbili zinazo wakabili vinara wa Ligi Uhispania

Your browser doesn’t support HTML5

Vinara wa ligi nchini Uhispania Atletico Madrid watakuwa na mtihani wa kuzima harakati za wapinzani wao wa jiji la Madrid, Real Madrid kupunguza mwanya wa pointi ama yenyewe kujikita kileleni.