Chama tawala Jamhuri ya Afrika ya Kati chadai kinaelekea kushinda
Your browser doesn’t support HTML5
Chama tawala Jamhuri ya Afrika ya Kati chatangaza Rais Faustin-Archange Touadéra anaelekea kupata ushindi huku upinzani ukilalamika uchaguzi haukuwa huru na haki.