Chama cha Kikomunisti cha China cha adhimisha miaka 100

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa China Xi Jinping katika maadhimisho hayo amepongeza maendeleo ya nchi na kusema kuwa haiwezi kurudi nyuma katika enzi ya ukoloni ya kudhalilishwa na kwamba sasa China imefikia hadhi yake.