Chadema yawataka wanachama 19 waliokula kiapo bungeni kuripoti

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo waliokula kiapo bungeni kuchukua nafasi za viti maalum wametakiwa kufika ofisi za makao makuu ya chama hicho mara moja.