Chadema yatangaza kuanza kupokea taarifa za wagombea urais

Your browser doesn’t support HTML5

Chadema Tanzania yaeleza mchakato wa kupokea majina ya wagombea urais kwa tiketi ya Chadema zimeanza sambamba na kufungua milango ya majadiliana ya kuunda ushirika wa upinzani uchaguzi mkuu 2020.