Chadema yapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020
Your browser doesn’t support HTML5
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, Tundu Lissu atangaza kutoyakubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, huku mgombea wa Urais Zanzibar Maalim Seif akamatwa kwa madai ya kuitisha maadamtano.