CDC Afrika : Wagonjwa wa COVID-19 wafikia milioni 4.1

Your browser doesn’t support HTML5

Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa barani Afrika,CDC, kimesema idadi ya wagonjwa wa COVID-19 katika bara hilo imefikia milioni 4.1.