CAF yakanusha kuahirishwa mashindano ya AFCON

Your browser doesn’t support HTML5

Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF, limeithibitishia ESPN kwamba ripoti zinazodai kuwa mashindano ya Kombe la Afrika, AFCON, yataahirishwa ni za uongo.