Burundi yajadili uongozi wa mpito kabla ya kuapishwa Rais mteule

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Mawaziri Burundi lakutana kujadili muendelezo wa utawala nchini kabla ya Rais mteule aliyechaguliwa hivi karibuni kuapishwa.