Bunge latafuta ufumbuzi wa wahamiaji wanaowasili Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Marekani wanatafuta ufumbuzi wa ongezeko la wahamiaji wenye umri mdogo kwenye mpaka wa Marekani na Mexico.
- Afisa mwandamizi wa Shirika la Afya Duniani atoa wito kwa serikali za Afrika kutopoteza matumaini katika chanjo ya AstraZeneca.

- Watu wanane wauawa kwa kupigwa risasi kwenye mji wa Atlanta, Marekani.