Bunge laendelea kujadili ahueni ya kiuchumi na kesi ya Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Marekani laendelea na kuangalia mpango wa ahueni wa kiuchumi kutokana na umuhimu wa msaada huo kufuatia hali ngumu inayo wakabili wananchi wengi wa Marekani iliyosababishwa na janga Ła COViD-19.