Bunge la Tanzania lajadili Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Tanzania lajadili mpango wa tatu ambao unakwenda kukamilisha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025, wakiweka bayana kuwepo utashi wa kisiasa katika kusimamia utekelezaji wa mpango huu.