Bunge la Marekani lapitisha msaada wa kiasi cha $900 bilioni

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge Marekani wapitisha msaada wa kiasi cha dola za Marekani bilioni 900 kusaidia biashara na watu wasiokuwa na ajira.
- Madaktari wanaofanya kazi katika hospitali za serikali Kenya wameanza mgomo nchini kote.

- Makamu wa kwanza wa Rais Sudan Kusini aondoshewa marufuku ya kusafiri.