Bunge la Marekani labaini hatari kubwa iliyomkabili Makamu wa Rais wa zamani Pence

Your browser doesn’t support HTML5

Kikao cha kamati ya Bunge la Marekani kilicho chunguza ghasia za Januari 06 kilijikita kuonyesha jinsi uvamizi huo ulivyokuwa hatari sana kwa Makamu wa Rais wa zamani Mike Pence na familia yake.