Bodi ya IMF yapitisha mpango wa nafuu wa deni la Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imepitisha mpango wa nafuu wa deni la Tanzania dola za Marekani milioni 14.3 kwa zaidi ya miezi minne ijayo.