Bobi Wine bado ni tishio kisiasa kwa Yoweri Museveni
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanamuziki wa kizazi kipya aliyegeuka kuwa mwanasiasa azikonga nyoyo za wananchi wengi wa Uganda wenye kutaka mabadiliko kutokana na ujasiri wake wa kukabiliana na Rais Yoweri Museveni katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu 2021.