Bobi Wine ana matumaini Museveni atawajibishwa na Mahakama ya ICC

Your browser doesn’t support HTML5

Bobi Wine nchini Uganda aelekeza malalamiko yake dhidi ya Rais Museveni na maafisa tisa wa usalama kutokana na kunyanyasika kwa sababu za kisiasa, Mahakama ya ICC, The Hague na ana. matumaini watawajibishwa.