Blinken ashauri wapiganaji 10,000 wa ISIS warudishwe makwao

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje amependekeza katika mkutano wa wadau wa muungano wa kimataifa kupambana na kikundi cha Kiislam cha ISIS unaofanyika Vatican kutafuta ufumbuzi wa kuwarudisha wapiganaji hao makwao.