Blinken asisitiza umuhimu wa demokrasia ziarani Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken katika ziara yake ya kwanza rasmi Afrika akisisitiza umuhimu wa demokrasia na kujumuishwa kwa jamii zilizoathirika kutokana na mivutano ya kisiasa.