Blinken alaani vikali vitendo vya kuangamiza watu wa Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amesema kilicho fanyika Ethiopia ni kitendo cha kuangamiza watu wa Tigray na kutaka uvunjifu huo wa haki za binadamu kukomeshwa mara moja.