Biden : Uamuzi wa mahakama ni hatua muhimu dhidi ya ubaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani waridhika na uamuzi wa Mahakama na Rais Biden asema ni hatua muhimu kuendelea mbele kwa taifa la Marekani dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi.