Joe Biden ni Rais wa Marekani wa 46

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani wamepata Rais mpya Joe Biden na Makamu wake Kamala Harris ambaye amweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa huo.