Biden na Putin wakubaliana kujenga maelewano na kuheshimiana

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano kati ya Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake wa Russia Vladimir Putin unaelekea kuwa umeleta tija ya kujenga maelewano na kuheshimiana ingawa wachambuzi wanadai wamepiga hatua ndogo.