Duniani Leo : Juni 16 : Biden na Putin wafanya mkutano Geneva wa kihistoria

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake wa Russia wafanya mkutano wa kihistoria mjini Geneva Jumatano.
- Marais wa Uganda na DRC wazindua mradi wa pamoja wa barabara mpakani mwa nchi hizo mbili

- Karim Khan ndiyo Mwendesha Mashtaka mkuu mpya wa Mahakama ya Kimataifa ya ICC baada ya kuapishwa Jumatano.