Biden na Putin waeleza matumaini ya mkutano kufana

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa Russia Vladimir Putin wameeleza matumaini yao kuwa mkutano wao utaleta mafanikio kwa pande zote.