Duniani Leo : Biden na Harris wawakumbuka waliokufa na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden na Makamu Rais Kamala Harris wawakumbuka watu laki tano waliokufa kutokana na janga la Corona nchini Marekani.
- Maambukizi ya Ebola yaongezeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) huku zoezi la chanjo likmendelea.