Biden na Harris waanza ziara kulihamasisha taifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wanaanza ziara ya kuhamasisha mpango wa kutokomeza janga la Corona na kufufua uchumi nchini Marekani uliyopewa jina la "Je, Msaada Umefika?"