Biden kuwatambulisha watakaoshika nafasi za kidiplomasia na usalama

Your browser doesn’t support HTML5

Rais mteule Joe Biden akiwa katika hatua ya kuwatambulisha watakao kuwa katika nafasi za juu za kidiplomasia na kiusalama latifa utawala wake.