Duniani Leo : Mei 10 : Biden kukutana na wabunge kutafuta mwaafaka wa mpango wa uchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden akutana na wabunge wiki hii kupata mwaafaka juu ya mipango yake ya kufufua uchumi
Magavana na wabunge wa majimbo ya Ituri na Kivu Kaskazini waachia madaraka kuwapisha askari jeshi.

Mapigano yamekuwa leo kati ya polisi wa Israeli na waumini wa Kipalestina karibu na msikiti wa Al-Aqsa.